Aliyekuwa Miss Tanzania na pia kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye Diamond Platinumz Wema Sepetu akuja wazi kusema kuwa bado anampenda Diamond Platinumz.
Wema kwa muda sasa amekuwa akionekana naye Diamond na huku akiambiwa ana uhusiano mwingine. Ila imekuja kubainika wazi kuwa dada huyu anatafuta kazi kwenye runing jipya la wasafi tv.
Wema Sepetu Afungua Roho Yake Wazi Bado Anampenda Diamond Huku Aomba Kazi Wasafi T.V
Reviewed by maajabu
on
March 04, 2018
Rating:
Reviewed by maajabu
on
March 04, 2018
Rating:

No comments: